Pages

Pages

Pages

Monday 7 September 2015

JK, MAKAMBA WAMPIGA TAFU DK MAGUFULI KAMPENI MOGOGORO


 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akijinadi kwa wananchi wakati wa mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro leo.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG

 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akimtambulisha kwa wananchi Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni mjini Morogoro
 JK akikumbatiana kwa furaha na Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli  wakati wa kampeni hizo, ambapo alisema kuwa siku atakapomkabidhi madaraka atafurahi sana
 Wote wawili wakiwasalimia wananchi waliofurika kwenye Uwanja wa JUamhuri Mjini Morogoro
 Dk Magufuli akiombewa na Watawa  baada ya kumaliza kujinadi kwa wananchi mjini Mikumi leo
 Wananchi wa Kijiji cha Mkasum wilayani Kilombero wakishangilia kwa furaha baada ya kufanikiwa kuuzuia msafara wa Dk Magufuli ili asikilize kero zao
 Wananchi wakiwa na mabango yenye ujumbe mbalimbali walipomzuia Dk Magufuli katika Kijiji cha Mkula, akitokea Ifakara kwenda  Jimbo la Mikumi
 Mambo yalivyokuwa katika Kata ya Mkambam wilayani Kilombero
 Dk Magufuli akizungumza na wananchi na kuwaomba kumpigia kura ifikapo Oktoba  25 mwaka =huu
 Madiwani wa CCM wakinadiwa na Dk Magufuli nkatika mkutano wa kampeni mjini Ruaha, Kilombero mkoani Morogoro
 Mgombea ubunge Jimbo la Mlimba, Godwin Kunambi akijinadi mbele ya Mgombea urais wa CCM, Dk Magufuli mjini Ruaha
 Mgombea ubunge Jimbo la Mikumi kupitia  CCM Jonas Nkya AKIOMBA KUPIGIA KURA katika uchaguzi mkuu mwaka huu
 Dk Magufuli akihutubia huku akishangiliwa na wananchi mjini Ruaha
 Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi ili apigiwe kura kwa wingi mjini Kilosa
 Dk Magufuli akimvisha kofia  aliyekuwa Katibu wa Chadema Wilaya ya Kilosa, Abdalah Seleman ambaye alitangaza kukihama chama nhicho na kujiunga na CCM katika mkutano wa kampeni uliofanyika mjini Kilosa
  Dk Magufuli akimvisha kofia  aliyekuwa Mwenyekiti wa  Chadema Wilaya ya Kilosa, Seleman Simba ambaye alitangaza kukihama chama nhicho na kujiunga na CCM katika mkutano wa kampeni uliofanyika mjini Kilosa
 Dk Magufuli akiwahutubia wakazi wa Kimamba wilayani Kilosa na kuahidi kujenga barabara kwa kiwango cha lami hadi mjini Kilosa.

 Msafara wa Dk Magufuli  ukiingia uwanjani huku akilakiwa na baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha Mzumbe wilayani Mvomero
 Dk Magufuli akimbeba mtoto na kumpoatia zawadi alipokuwa akiwasili kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro
 Dk Magufuli akiwapungia mkono wananchi waliofurika katika mkutano huo wa kampeni
 Wasanii mbalimbali wanaoeneza ujumbe wa Sema na Mwanao kuhusu uamuzi wa kuipigia kura CCM katika uchaguzi Mkuu mwaka huu.
 Katibu Mkuu wa zamani wa CCM,  Yusufu Makamba (kulia) akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete pamoja na Mgombea urais kupitia chama hicho, Dk John Magufuli alipowasili kumpiga tafu katika mkutano wa kampeni za CCM
 Msanii Ali Kiba akiongoza vijana wake kulishambulia jukwaa walipotumbuiza katika mkutano huo
 JK na Dk Magufuli wakiteta jambo
 Dk Magufuli akijadiliana jambo na Rais Jakaya Kikwete
 Mke wa Rfais, Mam Salma Kikwete (kushoto) wakioneshana jambo kwenye simu na Katibu Mkuu wa Umoja wa Wananwake wa CCM,


 Katibu Mkuu wa zamani wa CCM, Yusufu Makamba akielezea katika mkutano kuhusu anavyoujua ufisadi wa Mgombea urais wa Ukawa, Edward Lowassa pamoja utajiri mkubwa alio nao
  Dk Magufuli akionesha ukakamavu kwa kupanda ngazi kwa kukimbia kwenda jukwaani kujinadi
Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi kwenye Uwanja wa Jamhuri

No comments:

Post a Comment