Pages

Pages

Pages

Monday 24 August 2015

WALIMU KENYA KUPEWA NYONGEZA YA MSHAHARA ASILIMIA 60

Walimu wa Kenya wakiwa katika maandamano
Walimu nchini Kenya wana kila la wanatarajiwa kupokea nyongeza ya mshahara kwa hadi asilimia 60.

Mahakama ya juu imetoa uamuzi huo baada ya mvutano wa muda mrefu kati ya serikali na muungano wa walimu.
Serikali imekuwa ikisema haina uwezo wa kuendelea kuwapa nyongeza zaidi walimu laki mbili nchini humo.
Walimu walikuwa wameapa kugoma iwapo hawangepata nyongeza hiyo.
CREDIT: BBC

No comments:

Post a Comment