Pages

Pages

Pages

Tuesday 25 August 2015

UINGEREZA KUTANGAZA MAPAMBANO YA WAHAMIAJI HARAMU

Polisi wa Uingereza akiwa amemdhibiti mhamiaji
Serikali ya Uingereza itatangaza leo Jumanne mapendekezo mapya ya kukabiliana na suala tata la uhamiaji.

Wahamiaji ambao watapatikana wakifanya kazi kinyume na sheria nchini Uingereza na Wales, watakabiliawa na hukumu ya hadi miezi sita gerezani na kupigwa faini ya fedha nyingi.
CREDIT: BBC

No comments:

Post a Comment