Pages

Pages

Pages

Monday 24 August 2015

MSINDAI KUGOMBEA UBUNGE SINGIDA MJINI KWA TIKETI YA CHADEMA

IMG-20150821-WA0001
Aliyekuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida na Mwenyekiti wa wenyeviti CCM mikoa ya Tanzania, Mgana Izumbe Msindai, akikabidhiwa fomu na Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Manispaa ya Singida, Joseph Mchina ya kugombea ubunge Jimbo la Singida mjini kupitia tiketi ya Chadema. Alijiunga na chama hicho baada ya kushindwa kwenye kura za maoni za CCM katika Jimbo la Iramba Mashariki.

No comments:

Post a Comment