Pages

Pages

Pages

Sunday 2 August 2015

KUNRADHI KWA PICHA HIZI: HUU NI UNYAMA, MWANAFUNZI AMUUA MWENZAKE, AMCHARANGA VIPANDE NA KUMWEKA KWENYE BEGI

Mabaki ya mwili wa mwanafunzi yakiwa yamewekwa kwenye begi.
Kichwa cha marehemu.
 Huyu ndiye mwanafunzi aliyemchinja mwenzake na kuweka viungo vyake kwenye begi na kukitelekeza kiwiliwili cha marehemu.

Achana na mauaji ya albino nchini Tanzania, wala mauaji ya vikongwe yanayochangiwa na imani za kishirikina au hata yale matukio ya uchunaji wa ngozi na hata mauaji ya kunyofoa makoromeo.
Bado kuna binadamu wengine wana roho za kinyama kuliko hata wanyama wenyewe.
Mwanafunzi mmoja nchini Nigeria amethubutu kumchinja mwenzake na kukatakata viungo kama anayecharanga nyama buchani, kisha kuvipanga viungo hivyo kwenye begi.
Tukio hilo la kusikitisha na la kinyama, limetokea hivi karibuni ambapo kijana huyo ametiwa nguvuni na polisi na anaendelea kuhojiwa ili kujua chanzo na sababu za kutenda unyama huo.

No comments:

Post a Comment