Pages

Pages

Pages

Friday 21 August 2015

BORRUSIA, SPARTA PRAGUE ZAANZA VYEMA LIGI YA EUROPA

Wachezaji wa Borrusia wakishangilia ushindi wa mabao 4-3 dhidi ya Odds BK


Timu za Borrusia Dortmund na Sparta Prague, zimeanza vizuri michezo ya kwanza ya mchujo kuwania tiketi ya kushiriki Europa ligi.
Borussia wakicheza ugenini nchini Norway wameibuka na ushindi wa mabao 4-3 dhidi ya klabu ya Odds Bk, mabao ya wajerumani hao yalifungwa na Pierre Eric Aubameyang dakika ya 34, Shinji Kagawa na Mkhitaryan 84′.
Sparta Prague wakiwa katika dimba lao la nyumbani wakapata ushindi wa mabao 3-1dhidi ya FC Thun.
Southampton, wakiwa nyumbani St Marys, wakakubali kwenda sare ya bao 1-1 dhidi FC Midtjylland.
Matokeo mengine ya michezo hiyo Astra Giurgiu 3 – 2 AZ Alkmaar
Dinamo Minsk 2 – 0 FC Red Bull Salzburg
FK Qabala 0 – 0 Panathinaikos
Ajax 1 – 0 FK Jablonec
Molde 2 – 0 Standard Liege
CREDIT: BBC

No comments:

Post a Comment