Pages

Pages

Pages

Monday 6 July 2015

SERENA NA VENUS USO KWA USO FAINALI YA WIMBLEDON LEO

Serena Williams akiwa uwanjani
Serena Williams na nduguye Venus wanatarajiwa kuvaana leo katika mchezo wa mzunguko wa nne wa mashindano ya Wimbledon.
Wanadada hao raia wa Marekani leo itakuwa ni mara yao ya 26 kukutana huku Venus ambaye ndio mkubwa akijaribu kurejea katika kiwango chake baada ya kudhoofika kwa maradhi .
Kutokana na udugu wao, Serena amesema uhusiano wao ni muhimu zaidi kuliko kipute hicho, japo anauhakika kuwa mchezo huo utakuwa mzuri na chochote kitakachojiri kitabaki hapo hapo uwanjani.Naye Andy Murray atamenyana na Ivo Karlovic katika mashindano hayo hayo.
CREDIT: BBC

No comments:

Post a Comment