Pages

Pages

Pages

Saturday 4 July 2015

KATIBU MKUU KIONGOZI ATEMBELEA MABANDA KWENYE MAONESHO YA 39 YA BIASHARA YA KIMATAIFA

1
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akipewa maelezo na maafisa wa Shirika la Bima la Taifa alipotembelea Banda hilo kwenye Maonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa leo jijini Dar es Salaam.

2
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akipokea Wheel cover kutoka kwa Afisa wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu alipotembelea Banda hilo kwenye Maonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa leo jijini Dar es Salaam.
3
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akisaini Kitabu cha wageni alipotembelea moja ya banda kwenye Maonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa leo jijini Dar es Salaam.
Picha na Hassan Silayo

No comments:

Post a Comment