Pages

Pages

Pages

Monday 1 June 2015

HUU NDIO MTI WA EBOLA GUINEA


Kuna mti unaodaiwa kusababisha mlipuko wa Ebola nchini Guinea. Kundi moja la wavulana lilimpeleka mwandishi wa BBC katika mti huu.

Mti wa ebola
Walielezea kwamba siku moja waliwasha moto katika mti huo na popo wakaanguka kutoka kwa mti huo.
mti wa ebola
Waliwajaza popo hao katika mifuko na kuwala.Wakati huo hakuna mtu ambaye alikuwa amewahi kufariki na mlipuko wa Ebola.
CREDIT: BBC

No comments:

Post a Comment