Pages

Pages

Pages

Wednesday 6 May 2015

WAMBURA AKABIDHIWA MILIONI MOJA YA UCHEZAJI BORA WA MWEZI WA PILI NA VODACOM

Displaying DSC09760.JPG

Displaying DSC09765.JPGKaimu Mkurugenzi wa Bodi ya Ligi Kuu ya Vodacom, Fatuma Abdallah (wa tatu kushoto) akimkabidhi hundi ya shilingi milioni moja mchezaji wa Coastal Union,Godfrey Wambura  baada ya kuibuka mchezaji bora wa mwezi wa pili mwaka huu, kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF, Khalid Abdallah na kushoto Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Coastal Union, Salim Bawaziri. (Picha kwa hisani ya Coastal Union).


 Displaying DSC09768.JPG

No comments:

Post a Comment