Pages

Pages

Pages

Sunday 24 May 2015

RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM MJINI DODOMA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa Halmashauri kuu ya CCM unaofanyika katika ukumbi wa White House mjini Dodoma.

24Baadhi ya wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM wakifuata kwa kamini hotuba ya Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa ufunguzi wa kikao hicho.
(Picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment