Pages

Pages

Pages

Wednesday 6 May 2015

DIASPORA WATAKIWA KUZUNGUMZA LUGHA YA KISWAHILI NA KUFANYA TAFITI ZA KIUTAMADUNI

Displaying IMG_4996.jpg
Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Helmas Mwansoko akifungua mhadhara wa kuwawezesha Wanadiaspora wa Tanzania waishio Ughaibuni waweze kuzungumza lugha ya Kiswahili na Kufanya tafiti za kiutamaduni.Tamasha hilo lilihudhuriwa na wanafunzi kutoka Chuo cha Diplomasia nchini na Mabalozi kutoka Wizara ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa.Halfa hiyo imefanyika jijini Dar es salaam jana.

Displaying IMG_5045.jpg
Mkurugenzi Msaidizi Mila na Desturi Bi. Lily Beleko  kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo akitoa mada katika mhadhara wa kuwawezesha Wanadiaspora wa Tanzania waishio Ughaibuni waweze kuzungumza lugha ya Kiswahili na Kufanya tafiti za kiutamaduni.Tamasha hilo lilihudhuriwa na wanafunzi kutoka Chuo cha Diplomasia nchini na Mabalozi kutoka Wizara ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa.Halfa hiyo imefanyika jijini Dar es salaam jana.
Displaying IMG_5091.jpg
Mkurugenzi Msaidizi Lugha Hajat Shani Kitogo kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo akitoa mada katika mhadhara wa kuwawezesha Wanadiaspora wa Tanzania waishio Ughaibuni waweze kuzungumza lugha ya Kiswahili na Kufanya tafiti za kiutamaduni.Tamasha hilo lilihudhuriwa na wanafunzi kutoka Chuo cha Diplomasia nchini na Mabalozi kutoka Wizara ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa.Halfa hiyo imefanyika jijini Dar es salaam jana.
Displaying IMG_5110.jpg
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi Joyce Fissoo akitoa mada katika mhadhara wa kuwawezesha Wanadiaspora wa Tanzania waishio Ughaibuni waweze kuzungumza lugha ya Kiswahili na Kufanya tafiti za kiutamaduni.Tamasha hilo lilihudhuriwa na wanafunzi kutoka Chuo cha Diplomasia nchini na Mabalozi kutoka Wizara ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa.Halfa hiyo imefanyika jijini Dar es salaam jana.
Displaying IMG_5166.jpg
Prof. Aldin Mutembei kutoka Taasisi ya Taaluma za Kiswahili Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akichangia mada katika mhadhara wa kuwawezesha Wanadiaspora wa Tanzania waishio Ughaibuni waweze kuzungumza lugha ya Kiswahili na Kufanya tafiti za kiutamaduni.Tamasha hilo lilihudhuriwa na wanafunzi kutoka Chuo cha Diplomasia nchini na Mabalozi kutoka Wizara ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa.Halfa hiyo imefanyika jijini Dar es salaam jana.
Displaying IMG_5159.jpg
Kaimu Mkurugenzi Diaspora Bi. Rose Jairo kutoka Wizara ya Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa kushoto akipokea zawadi ya Vitabu vya Kiswahili kutoka kwa Mkurugenzi wa TATAKI  kulia katika mhadhara wa kuwawezesha Wanadiaspora wa Tanzania waishio Ughaibuni waweze kuzungumza lugha ya Kiswahili na Kufanya tafiti za kiutamaduni.Tamasha hilo lilihudhuriwa na wanafunzi kutoka Chuo cha Diplomasia nchini na Mabalozi kutoka Wizara ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa.Halfa hiyo imefanyika jijini Dar es salaam jana.
Displaying IMG_5214.jpg
Mkurugenzi Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bw. Nigel Msangi akifunga mhadahara wa kuwawezesha Wanadiaspora wa Tanzania waishio Ughaibuni waweze kuzungumza lugha ya Kiswahili na Kufanya tafiti za kiutamaduni.Tamasha hilo lilihudhuriwa na wanafunzi kutoka Chuo cha Diplomasia nchini na Mabalozi kutoka Wizara ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa.Halfa hiyo imefanyika jijini Dar es salaam jana.
Displaying IMG_5186.jpg
Displaying IMG_5030.jpg


No comments:

Post a Comment