Pages

Pages

Pages

Wednesday 27 May 2015

BALOZI WA OMAN AKUTANA NA RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN

1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akipokea Hundi ya Tanzania Shilingi billioni 12.3 kutoka Balozi   wa Oman  Nchini Tanzania Mhe. Saoud Al Ruqaishi ikiwa ni msaada  kwa ajili ya ununuzi wa Vifaa kwa  kiwanda cha upikaji Chapa (kushoto  Balozi Mdogo wa Oman aliyepo Zanzibar Mhe, Ali Abdulla Al-Rashdi  hafla ya makabidhiani ilifanyika Ikulu Mjini Zanzibar jana. (Picha na Ikulu).

2
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Oman nchini Tanzania Mhe. Saoud Al Ruqaishi alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana.
3
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akifuatana na Balozi wa Oman Nchini Tanzania  Mhe. Saoud Al Ruqaishi  baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana.

No comments:

Post a Comment