Pages

Pages

Pages

Sunday 12 April 2015

WACHEZAJI WA BARCELONA WAMTEMBELEA RAIS KIKWETE IKULU

KJ1.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na wachezaji maveterani wa timu ya Barcelona wakati walimpomtembelea ikulu jijini Dar es Salaam jana.
KJ2Mchezaji nyota wa Timu ya Barcelona Johann Cruyft akimkabidhi jezi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam jana. (picha na Freddy Maro)KJ3Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji maveterani wa timu ya Barcelona walipomtembelea ikulu jijini Dar es Salaam jana.

No comments:

Post a Comment