Pages
(Move to ...)
Home
KILIMO ENDELEVU
KILIMO HAI
CONTACTS US
▼
Pages
(Move to ...)
Home
▼
Pages
(Move to ...)
Home
▼
Saturday 11 April 2015
RAIS KIKWETE APOKEA RIPOTI YA OPERESHENI TOKOMEZA
Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi kuhusu operesheni tokomeza Jaji(Mstaafu) Balozi Hamisi Amiri Msumi akimkabithi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Ripoti ya Uchunguzi wa Tume hiyo katika hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam jana. Rais Kikwete aliiteua tume hiyo mwaka jana kuchunguza tuhuma za uvunjifu wa sheria katika utekelezaji wa operesheni hiyo
.
Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi kuhusu operesheni tokomeza Jaji (Mstaafu) Balozi Hamisi Amiri Msumi akimkabithi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Ripoti ya Uchunguzi wa Tume hiyo katika hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam jana. Rais Kikwete aliiteua tume hiyo mwaka jana kuchunguza tuhuma za uvunjifu wa sheria katika utekelezaji wa operesheni hiyo
.
Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Tume ya Uchunguzi wa operesheni Tokomomeza ikulu jana.
(Picha na Freddy Maro).
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment