Pages

Pages

Pages

Friday 17 April 2015

24 WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI YA HIACE MKOANI MBEYA

hie1
Ajali ya Hiace imeua watu 24 eneo la Uwanja wa ndege Kiwila wilayani Rungwe mkoani Mbeya.

Wadau Niko eneo la tukio, mpaka sasa miili 22 imefanikiwa kutolewa. Kwani Hiace hii ilidumbukia mtoni na bado miili miwili imenaswa.
Watu wawili tu ndio wamepona akiwemo kondakta. Ajali hii imetokea wakati Coaster zinazofanya safari zake kati ya Mbeya na Kyela kugoma hivo baadhi ya hiace za mjini kuamua kubeba abiria. Inaonekana ni ugeni Wa barabara, speed na gari kukosa break za kuaminika.
hie4hie3
hie2

No comments:

Post a Comment