Pages

Pages

Pages

Thursday 26 March 2015

UGAIDI: MAREKANI YASEMA UGANDA HATARINI KUSHAMBULIWA

 
Polisi wa Uganda wakidhibiti Al Shabaab

Ubalozi wa Marekani nchini Uganda, umesema una taarifa za uwezekano wa shambulio la kigaidi nchini humo.

Aidha Marekani pia imetoa tahadhari kwa raia wake.
Taarifa ya ubalozi huo umebainisha kwamba shambulio hilo linaweza kutekelezwa wakati wowote, katika maeneo ambayo raia wa mataifa ya Magharibi na Marekani hukutana.
Katika kipindi kilichopita, kundi la Al-Shaabab lenye makao yake Nchini Somalia, limetekeleza mashambulio Nchini Uganda.
BBC

No comments:

Post a Comment