Pages

Pages

Pages

Tuesday 24 March 2015

KIAMA KWA WAAFRIKA: WANASOKA WA NJE KUPUNGUZWA ENGLAND


Shirikisho la Kandanda nchini England (FA) sasa linakusudia kuandaa sheria itakayo punguza idadi ya wachezaji kutoka nje ya nchi za Umoja wa Ulaya watakaosajiliwa katika ligi za nchi hiyo.

Mwenyekiti wa shirikisho hilo, Greg Dyke, asema kwamba Ligi Kuu ya England ipo kwenye hatari ya kutowasaidia wachezaji raia wa Uingereza kama hatua hazitachukuliwa.
Katika mpango pia itaweka sheria ngumu kwa wachazaji wenye vipaji waliokulia nchini humo.
Mikakati hiyo yote ni ya kuimarisha timu ya taifa ya England ambayo imekuwa haifanyi vizuri kwenye mechi za kimataifa.
CREDIT: BBC

No comments:

Post a Comment