Pages

Pages

Pages

Thursday 1 January 2015

NGUNA YA WANAUME HII! UPOOOO!

Kweli kazi na Dawa! Hawa ni wavuvi katika Bwawa la Mtera ambao wanapika ugali, wapate nguvu kabla ya kurejea tena majini kutafuta samaki wa kitoweo na biashara.

 Nguna imekamilika...
...Na wanaume wanaishambulia kama kawa...

No comments:

Post a Comment