Pages

Pages

Pages

Tuesday 13 January 2015

HIKI NDICHO KIKOSI BORA CHA DUNIA


Shirikisho la soka dunia Fifa limetangaza kikosi cha wachezaji bora wa dunia.

Kikosi hicho kinawajumuisha nyota watatu waliokua wakiwania tuzo ya mchezaji bora wa dunia ambao ni Ronaldo, Messi na Neuer.
Kikosi kamili kipa ni Manuel Neuer. Mabeki Philipp Lahm, David Luiz, Thiago Silva na Sergio Ramos
Viungo Andres Iniesta, Toni Kroos, Angel di Maria.Huku safu ya ushambuliaji ikiongozwa na Arjen Robben, Cristiano Ronaldo na Lionel Messi.
CREDIT: BBC

No comments:

Post a Comment