Pages

Pages

Pages

Friday 2 January 2015

UNAZIKUMBUKA ENZI HIZI?!

Enzi za utotoni zina raha yake, mojawapo ikiwa ni kuwinda ndege, iwe kwa manati au ulimbo. Vijana hawa walionaswa na kamera ya BrotherDanny mjini Kibaya wakiwaandaa manati kwa ajili ya mwindo ya ndege.

No comments:

Post a Comment