Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe akimfafanulia jambo Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi ya
Zanzibar, Haji Omar Kheri (kushoto-meza kuu) pamoja na Maofisa wa Watendaji wa
wizara hiyo na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakati wa mkutano wa
ushirikiano wa wizara hizo uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi, jijini Dar es Salaam leo.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe akimfafanulia jambo Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi ya
Zanzibar, Haji Omar Kheri (kushoto-meza kuu) pamoja na Maofisa wa Watendaji wa
wizara hiyo na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakati wa mkutano wa
ushirikiano wa wizara hizo uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi, jijini Dar es Salaam leo. Wapili kulia ni Katibu Mkuu
wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil, na kulia ni Mkuu wa
Jeshi la Polisi, IGP Ernest Mangu. Watatu kushoto ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo,
Zanzibar, Joseph Meza.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi
ya Zanzibar, Haji Omar Kheri, akimfafanulia jambo Waziri Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mathias Chikawe (kulia-meza kuu) pamoja na Watendaji Wakuu wa wizara hizo
mbili wakati wa mkutano wao wa ushirikiano uliofanyika katika ukumbi wa
mikutano wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, jijini Dar es Salaam leo.

Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu, akiwafafanulia jambo Waziri wa
Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia-meza kuu), Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Rais, Tawala za Mikoa na Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,
Haji Omar Kheri (kushoto-meza kuu) pamoja na Maofisa wa Watendaji wa wizara
hizo wakati wa mkutano wa ushirikiano uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, jijini Dar es Salaam leo.
Picha zote na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
No comments:
Post a Comment