Pages

Pages

Pages

Monday 1 December 2014

MEYA WA MANISPAA YA ILALA AJITOKEZA KUPIMA UKIMWI

Meya wa Manispaa ya Ilala leo amehudhuria maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani iliyoadhimishwa na Manispaa ya Ilala kwenye Kata ya Vingunguti na ametumia fursa hiyo kupima na kuwahamasisha wanaume kupima VVU. Takwimu zinaonyesha asilimia ndogo ya wanaume wanajitokeza kupima. 

Pichani akipewa maelezo na mhudumu wa afya baada ya kupima.

No comments:

Post a Comment