Pages

Pages

Pages

Tuesday 23 December 2014

HALI TETE, POLISI AUAWA KENYA

Polisi wa Kenya wakiwa katika doria
Askari mmoja ameuawa na mwingine akiwa mahututi baada ya kushambuliwa kwa kupigwa risasi kaskazini mwa Kenya.

Askari hao wa Kenya wanadaiwa kushambuliwa na watu wanaosadikiwa kuwa ni wafuasi wa kundi la Al Shabaab.
Askari hao wa jeshi la polisi kikosi cha ziada walikutwa na kisa hicho mjini Wajir kaskazini mwa Kenya usiku wa kuamkia leo.
CREDIT: BBC

No comments:

Post a Comment