Pages

Pages

Pages

Saturday 1 November 2014

POLISI 7 WAUAWA KENYA

Ripoti kutoka Kenya zinaeleza kuwa askari polisi 7 wameuawa katika shambulio lilofanywa na watu wa kabila moja la Jimbo la Turkana, kaskazini mwa nchi.
Askari polisi 17 bado hawajulikani waliko baada ya tukio hilo ambapo polisi waliviziwa na kushambuliwa wakati wa operesheni zao za usalama Ijumaa usiku.

No comments:

Post a Comment