Pages

Pages

Pages

Thursday 20 November 2014

MEYA WA ILALA AAHIDI KUMSAIDIA MWANAFUNZI BORA UDSM

Meya wa Manispaa ya Ilala, Mstahiki Jerry Silaa, anasema: "Mwaka 2011 Doreen Kabuche alimaliza Kidato cha sita Benjamin Mkapa na kuwa best female student.Tulimwita na nikamzawadia laptop ya 1,500,000 Mwaka huu amekuwa best student udsm kwa kupata GPA 4.8 kwenye shahada adimu Ya takwimu bima. Nataka tumsomeshe Masters ili kupata wataalam wataoangalia mifuko yetu ya pension Tuache kulalamikia utendaji mbovu wakati hatusomeshi wataalam."



No comments:

Post a Comment