Pages

Pages

Pages

Tuesday 4 November 2014

BILIONI 2.5/= ZADAIWA KUPANGWA KUTUMIKA KATIKA MKAKATI WA SIRI WA KUSHAWISHI WANANCHI WAPIGE KURA YA 'NDIYO'

Hii imenaswa, kwamba serikali imeweka mkakati madhubuti wa kuinadi Katiba Inayopendekezwa ili watu wapige kura ya 'NDIYO'. Mkakati huo umepanga kutumia Shs. 2.5 bilioni.


No comments:

Post a Comment