Pages

Pages

Pages

Thursday 2 October 2014

TUSKER YAZINDUA KAMPENI YA 'FANYA KWELI'

Issa Masoud, kulia akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, wakati wa uzinduzi wa kampeni ijulikanayo kama Tusker Fanya kweli, iliyofanyika katika Ukumbi wa Dunken Mikocheni jijini Dar es Salaam.
Meneja wa bia ya Tusker Lager, Stalovise Shayo, akizungumza na waandishi wa habari katika uzinduzi wa kampeni ya inayojulikana kwa jina la Fanya kweli Tusker, iliyofanyika katika Ukumbi wa Dunkan Mikocheni jijini Dar es Salaam.

Meneja Masoko wa Tusker Lager, Anitha Msangi akifafanua jambo kwa  waandishi wa habari , katikati ni Mkurugenzi wa masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti, Ephraim Mafuru na Meneja wa bia ya Tusker Lager Stalovise Shayo.
Msanii Shani Charles akifanya vitu vyake wakati wa Uzinduzi wa kampeni ijulikanayo kama Fanyakweli na Tusker iliyofanyika katika Ukumbi wa Dunkan Mikocheni Jijini Dar es Salaam.
Msanii Moses Sande a.k.a Vipaji vingi, akiburudisha waadnishi wa habari Uzinduzi wa kampeni ijulikanayo kama Fanyakweli na Tusker iliyofanyika katika Ukumbi wa Dunkan Mikocheni Jijini Dar es Salaam.


No comments:

Post a Comment