Pages

Pages

Pages

Friday 3 October 2014

TANZANIA YAWA MWENYEJI MKUTANO MKUU WA KWANZA WA UMOJA WA VYUO VYA USAFIRI WA ANGA BARANI AFRIKA(AATO)

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi , Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania, Mbwana . J. Mbwana akisalimiana na Rais wa  Umoja wa Vyuo vya Usafiri wa Anga Barani Afrika(AATO) Tchagbele Sadamba  wakati wa  mkutano mkuu wa kwanza wa AATO  unaofanyika Zanzibar   kwa ajili ya kujadili mbinu za kuboresha  mafunzo ya usafiri wa anga barani Afrika. Katikati ni Mkurugenzi wa Idara ya Udhibiti Uchumi  Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) Dkt.  James Diu.

Rais wa  Umoja wa Vyuo vya Usafiri wa Anga Barani Afrika(AATO) Tchagbele Sadamba  (Kulia) akiteta jambo na Katibu Mkuu wa AATO  Bi Margreth Kyarwenda ambaye pia ni Mkuu wa Chuo Cha Usafiri wa Anga (CATC) , kinachomilikiwa na TCAA wakati wa  mkutano mkuu wa kwanza wa AATO  unaofanyika Zanzibar   kwa ajili ya kujadili mbinu za kuboresha  mafunzo ya usafiri wa anga barani Afrika.
Baadhi ya wataalamu wa sekta ya  Usafiri wa Anga Tanzania wakifuatilia kwa karibu mkutano  mkuu wa kwanza wa Umoja wa Vyuo vya Usafiri wa Anga Barani Afrika( AATO) unaofanyika mjini  Zanzibar kwa ajili ya kujadili mbinu za kuboresha  mafunzo ya usafiri wa anga barani Afrika.
Baadhi ya wataalamu wa sekta ya  Usafiri wa Anga toka nchi ya Senegal  wakifuatilia kwa karibu mkutano  mkuu wa kwanza wa Umoja wa Vyuo vya Usafiri wa Anga Barani Afrika( AATO) unaofanyika mjini  Zanzibar  kwa ajili ya kujadili mbinu za kuboresha  mafunzo ya usafiri wa anga barani Afrika.
Mkurugenzi  Idara ya Udhibiti Uchumi(TCAA) Dkt. James Diu , akitoa hotuba kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa kwanza wa Umoja wa Vyuo Vya Usafiri wa Anga Barani Afrika(AATO)  unaofanyika mjini  Zanzibar kwa ajili ya kujadili mbinu za kuboresha  mafunzo ya usafiri wa anga barani Afrika.
Mgeni  rasmi  wa mkutano mkuu wa kwanza wa Umoja wa Vyuo vya Usafiri wa Anga Barani Afrika, Mbwana J. Mbwana (watano kutoka Kulia) akiwa  kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa baraza  la  Umoja wa Vyuo vya Usafiri wa Anga Barani Afrika( AATO) unaofanyika mjini  Zanzibar  kwa ajili ya kujadili mbinu za kuboresha  mafunzo ya usafiri wa anga barani Afrika.

No comments:

Post a Comment