Pages

Pages

Pages

Wednesday 1 October 2014

PANYA WANAOTAFUNA WATOTO WATESA JIJI LA JOHANNESBURG!

Panya wala watoto
Mji wa Johannesburg nchini Afrika Kusini ni mmoja wa miji inayokua kwa kasi barani Afrika, lakini mji huo unakabiliwa na tatizo la kuvamiwa na panya walionona ambao huwatafuna watoto
wadogo majumbani na wengine kufariki dunia. 
Maafisa wa halmashauri ya jiji la Johannesburg sasa wamezidisha juhudi ya kupambana na tatizo hilo ambalo limekuwepo kwa muda mrefu.
CREDIT: BBC/SWAHILI

No comments:

Post a Comment