Pages

Pages

Pages

Monday 27 October 2014

INATISHA: TAZAMA HAPA MWIZI ALIPOKUBALI KUKATWA VIDOLE, ANUSURIKA KIFO!

Jamaa hawakuwa na nia ya kumuua, badala yake walitaka kuondoa vidole vinavyotumiwa na kijana huyu kukwapua mifukoni mwa watu. Baada ya kukamatwa red handed akikwapua, wananchi wakataka kumuua. Lakini akatokea mmoja akiwa na bastola akawaambia wasubiri. Wakampa kijana hayo masharti mawili: achague kupigwa risasi ama kuweka mkono wa kulia vidole vikatwe. Akaona bora aendelee kuishi hata kama hana vidole, akakatwa vidole bila ganzi. Mungu anasema "...USIIBE..."

No comments:

Post a Comment