Pages

Pages

Pages

Friday 3 October 2014

ILIVYOKUWA BUNGENI DODOMA BAADA YA RASIMU YA KATIBA KUPITISHWA JANA

 Wajumbe wa Bunge Maalum la katiba wakishangilia jana usiku mjini Dodoma mara baada ya matokeo ya upigaji kura kuonyesha kuwa Theluthi mbili ya Zanzibar imepatikana.

 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Anne Makinda akitoa neno la shukurani kwa wajumbe wa Bunge la Katiba na uongozi wao pamoja na uongozi wa nchi kabla ya bunge hilo kuvunjwa rasmi jana mjini Dodoma.
 Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. John Shibuda akitoa neno la shukurani kwa wajumbe wa Bunge la Katiba na uongozi wao pamoja na uongozi wa nchi kabla ya bunge hilo kuvunjwa rasmi jana mjini Dodoma.
 Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. John Cheyo akitoa neno la shukurani kwa wajumbe wa Bunge la Katiba na uongozi wao pamoja na uongozi wa nchi kabla ya bunge hilo kuvunjwa rasmi mjini Dodoma jana.
 Spika wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar  ambaye pia ni mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Pandu Ameir Kificho akitoa neno la shukurani kwa wajumbe wa Bunge la Katiba na uongozi wao pamoja na uongozi wa nchi kabla ya bunge hilo kuvunjwa rasmi mjini Dodoma jana.
 Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Selemani Nchambi akitoa neno la shukurani kwa wajumbe wa Bunge la Katiba na uongozi wao pamoja na uongozi wa nchi kabla ya bunge hilo kuvunjwa rasmi mjini Dodoma jana.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Mzee Kingunge Ngombale Mwiru akitoa neno la shukurani kwa wajumbe wa Bunge la Katiba na uongozi wao pamoja na uongozi wa nchi kabla ya bunge hilo kuvunjwa rasmi mjini Dodoma jana.

(PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA, MAELEZO-DODOMA)

No comments:

Post a Comment