Pages

Pages

Pages

Saturday 20 September 2014

DADA WA DIAMOND AOLEWA NA PETIT MAN

Meneja wa Mirror na wasanii wa Endless Fame, Petit Man (kushoto) akimvalisha pete ya ndoa dada yake na Diamond Platnumz aitwaye Esma usiku wa kuamkia leo.

Wanandoa wakiwa katika pozi baada ya kufunga ndoa.
Mama mzazi wa Diamond Platnumz na Esma, Sanura Kassim 'Sandra' (katikati) akiwa katika pozi na wanandoa hao.
Wanandoa Petit Man na Esma wakiwa katika picha ya pamoja.
Meneja wa Mirror na wasanii wa Endless Fame, Petit Man, amefunga ndoa ya Kiislamu na dada wa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz aitwaye Esma usiku wa kuamkia leo.

CREDIT: GLOBAL PUBLISHERS

No comments:

Post a Comment