Pages

Pages

Pages

Wednesday 24 September 2014

AUNTY EZEKIEL NDANI YA USIKU WA JAKAYA WASHINGTON, DC


Aunty Ezekiel katika picha ya pamoja na mkuu wa wilaya Springfield 'Mnyalukolo' Alhaji Isaac Kibodya pamoja na mama mwenye nyumba wake.
Aunty Ezekiel katika picha ya pamoja na kutoka kushoto Aunty Ashura, Iman Nkuwi, Asha Hariz na Asha Nyang'anyi.
Aunty Ezekiel katika picha ya pamoja na Seif Ameir na mama mwenye nyumba wake.
Aunty Ezekiel katika picha ya pamoja na wadau kutoka kushoto Salma, Missy Temeke na aliyekua Miss Tanga kutoka Houston, Texas.

No comments:

Post a Comment