Pages

Pages

Pages

Sunday 3 August 2014

MOTO WATEKETEZA BODI YA MIKOPO ELIMU YA JUU


Jengo la Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) linateketea kwa moto hivi sasa.
Taarifa zinasema Kikosi cha Zimamoto kinashughulikia kuzima moto huo ambao unazidi kusambaa kwenye jengo hilo.
Inaelezwa kwamba nyaraka nyingi, zikiwemo fedha za wanafunzi za FPT katika hundi nazo zimeteketea kwa moto huo ambao chanzo chake hakijajulikana.
Tutawaletea taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment