Pages

Pages

Pages

Friday 15 August 2014

MJANE WA RAIS IDRIS ABDULWAKIL AFARIKI DUNIA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akijumuika na Viongozi wengine katika kumswalia aliyekuwa Mke wa Marehemu Rais Idrisa Abdulwakil (awamu ya tatu) Bibi Rehema Khamis katika msikiti Luta Kiembesamaki na kuzikwa Chukwani leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_0855Wananchi na Waislamu wakibeba Jeneza la Marehemu Bi Rehema Khamis  aliyekuwa Mke wa Marehemu Rais wa Zanzibar Idrisa Abdulwakil (awamu ya tatu) Chukwani alikozikwa leo wilaya ya Magharibi Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_0859
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitia ugongo katika kaburi la Marehemu Bi Rehema Khamis  aliyekuwa Mke wa Marehemu Rais wa Zanzibar Idrisa Abdulwakil (awamu ya tatu) Chukwani alikozikwa leo wilaya ya Magharibi Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment