Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Sunday 17 August 2014

'MCHAWI' AKATALIWA KUINGIA DUBAI!

Rolf Bushholz
Mwanamume wa Ujerumani ambaye anaongoza rekodi ya dunia kuwa na mwili uliotogwa mara nyingi kabisa amekataliwa ruhusa ya kuingia Dubai, baada ya kwenda huko na kuingia katika klabu ya starehe.
Rolf Buchholz, ametogwa mahala 453 kwenye mwili na uso wake na ana pembe mbili kwenye kipaji.
Ameeleza kwenye mitandao ya kijamii kuwa alikataliwa na maafisa wa uwanja wa ndege kuingia nchini kwa sababu, kama alivyosema, alikuwa "mchawi".
Bwana Buchholz ameapa kuwa hatarudi tena Falme za Kiarabu.
BBC/SWAHILI

No comments:

Post a Comment