Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Sunday 10 August 2014

MAMA TUNU PINDA KATIKA MKUTANO KOREA

Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda akitambulishwa wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Dunia kuhusu Amani na Usalama ulioanza leo (Agosti 10, 2014) jijini Seoul, Korea Kusini. Wengine kutoka kushoto ni Mke wa Rais wa visiwa vya Marshall, Bibi Lieom Anono Loeak, Rais wa WFWP (International), Prof. Yeon Choi Moon, Waziri Mkuu wa Timor Mashariki, Xanana Gusmao na mke wa Rais wa visiwa vya Samoa, Bibi Filifilia Tamasese (PICHA NA IRENE BWIRE WA OWM). 20140810_091211
 Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda akiwa na viongozi wengine meza kuu wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Dunia kuhusu Amani na Usalama ulioanza leo (Agosti 10, 2014) jijini Seoul, Korea Kusini. Wengine kutoka kushoto ni Mke wa Rais wa visiwa vya Marshall, Bibi Lieom Anono Loeak, Prof. Yeon Choi Moon Rais wa WFWP (International), Waziri Mkuu wa Timor Mashariki, Xanana Gusmao, Mke wa Rais wa Samoa, Bibi Filifilia Tamasese na Rais wa Visiwa hivyo, Bw. Tui Atua Tupua Tamasese. (PICHA NA IRENE BWIRE WA OWM). 20140810_102747
Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda  (wa pili kulia mstari wa mbele) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wakuu wanaohudhuria  Mkutano wa Dunia kuhusu Amani na Usalama ulioanza leo (Agosti 10, 2014) jijini Seoul, Korea Kusini. (PICHA NA IRENE BWIRE WA OWM). 20140810_102910
Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda  (wa nne kulia mstari wa mbele) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wakuu wanaohudhuria  Mkutano wa Dunia kuhusu Amani na Usalama ulioanza leo (Agosti 10, 2014) jijini Seoul, Korea Kusini. (PICHA NA IRENE BWIRE WA OWM). 20140810_152558
Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda akitoa mada ya ufunguzi kwenye Mkutano wa Dunia kuhusu Amani na Usalama ulioanza leo (Agosti 10, 2014) jijini Seoul, Korea Kusini. (PICHA NA IRENE BWIRE WA OWM).
20140810_152611
Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda akitoa mada ya ufunguzi kwenye Mkutano wa Dunia kuhusu Amani na Usalama ulioanza leo (Agosti 10, 2014) jijini Seoul, Korea Kusini. (PICHA NA IRENE BWIRE WA OWM). 20140810_153906
Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda (wa tatu kushoto) akiwa na watoa mada wenzake mara baada ya ufunguzi kwenye Mkutano wa Dunia kuhusu Amani na Usalama ulioanza leo (Agosti 10, 2014) jijini Seoul, Korea Kusini. Kutoka kulia ni mwana wa Mfalme wa kisiwa cha Maori kilichopo New Zealand, Whatumaona Paki; Mke wa Rais wa Fiji, Koila Nailatikau; Mke wa Rais wa visiwa vya Marshall, Bibi Lieom Anono Loeak, aliyekuwa Balozi wa UN katika Nchi zinazoendelea, Balozi Anwarul Chowdhury na Katibu Mkuu wa UPF, Bw. Tageldin Hamad. (PICHA NA IRENE BWIRE WA OWM).
20140810_154400
Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda (katikati) akiwa na marais wa Shirikisho la Wanawake na Amani Duniani  (WFWP) wanaohudhuria Mkutano wa Dunia kuhusu Amani na Usalama ulioanza leo (Agosti 10, 2014) jijini Seoul, Korea Kusini. Kulia ni Bibi Susan Kone’ wa WFWP – Kenya na kushoto ni Bibi Yoshie Tsuboi wa WFWP Japan. (PICHA NA IRENE BWIRE WA OWM)

No comments:

Post a Comment