Pages

Pages

Pages

Sunday 17 August 2014

LIVERPOOL YAANZA VIZURI BILA SUAREZ, YAINYUKA SOUTHAMPTON 2-1

Daniel Sturridge (kushoto) akishangilia bao la ushindi la Liverpool na nahodha Steven Gerrard
LIVERPOOL imeanza vizuri maisha mapya ya ligi kuu soka nchini England bila ya Luis Suarez kwa kuifunga Southampton mabao 2-1 ndani ya dimba la Anfield jioni hii.
Majogoo wa jiji ndio walikuwa wa kwanza kuandika bao la kuongoza katika dakika ya 23 kupitia kwa kinda wake, Raheem Sterling kabla ya Nathaniel Clyne kuisawazishia Sounthampton katika dakika ya 56 kipindi cha pili.
Kusoma zaidi bofya www.bkmtata.blogspot.com

No comments:

Post a Comment