Pages

Pages

Pages

Wednesday 20 August 2014

KWA WADADA: UNATAKA TUMBO LAKO LIWE FLAT? FANYA HIVI - 15

LEO NI KUKIMBIA KWENYE MASHINEMazoezi ya leo, ikiwa ni siku ya 15 ya mfululizo wa maelekezo ya mazoezi ya kupunguza nyama-uzembe na kuondoa mafuta mwilini kuhakikisha tumbo lako linakuwa flat, ni ya kukimbia kwenye mashine (treadmills).Kama uko kwenye gym, iseti mashine yako kwa kufuata mpangilio huu hapa chini:

TIMESPEED
(MPH)
INCLINENOTES
0:00-5:004.02.5Warmup
5:00-6:005.01.0
6:00-7:006.01.0
7:00-8:005.01.0
8:00-9:006.51.0
9:00-10:004.01.0
10:00-11:006.51.0
11:00-12:005.01.0
12:00-13:007.01.0
13:00-14:005.01.0
14:00-15:007.51.0
15:00-16:004.01.0
16:00-17:006.51.0
17:00-18:005.51.0
18:00-19:007.01.0
19:00-20:005.51.0
20:00-21:008.01.0
21:00-22:005.01.0
22:00-23:007.01.0
23:00-24:005.51.0
24:00-25:006.51.0
25:00-30:004.02.0Cooldown

Pata papai, tangawizi na juisi mchanganyiko

Baada ya mazoezi makali, pata mlo mzuri usio na asili ya mafuta, lakini pia hakikisha unapata papai, tangawizi na juisi mchanganyiko.

No comments:

Post a Comment