Pages

Pages

Pages

Tuesday 19 August 2014

KWA WADADA: UNATAKA TUMBO LAKO LIWE FLAT? FANYA HIVI - 14



LEO NI MAZOEZI YA YOGA

Leo tunaendelea na mfululizo wa mazoezi ambayo yatakufanya wewe mwanadada uongeze urembo wako kwa kuondokana na tumbo kubwa lililojaa nyama-uzembe na mafuta ili uwe na tumbo flat.
Haina haja ya kutumia makemikali ambayo yatakuletea madhara hapo baadaye.
Unachotakiwa kufanya ni mazoezi tu na kuzingatia maelekezo ili uyafanye mazoezi hayo kwa ustadi wa hali ya juu.
Leo ikiwa ni siku ya 14, unatakiwa kufanya mazoezi ya yoga. Mazoezi haya yatakusaidia kupata pumzi na kuimarisha misuli yako huku ukiondoa kiasi kikubwa cha mafuta mwili.

Kula chakula chenye protini

Tumia salad yenye mchanganyiko wa nyanya, pilipili. Chkula chenye protini nyingi kinasaidia kuondoa njaa hivyo kupunguza mafuta mwilini.
Salad hiyo unaweza kuichanganya pia na matango.

No comments:

Post a Comment