Dansi la Capoeira
Unalijua dansi la Capoeira wewe? Hili ni dansi, lakini ni sanaa maarufu ya Kibrazili ambayo iko kama mazoezi ya sanaa ya kujihami (martial
art).
Sanaa hii inahusisha tumbo, miguu, mikono, na mgongo kutoka kila kona. Unahitaji kuwa na pumzi ya kutosha na pia agana na viungo vyako ili uweze kuvipinda pinda.
Katika siku ya tisa leo, ndilo ambalo utalifanya kwa muda
usiozidi ama kupungua nusu saa. Unaweza kutazama kwenye video hii (30-minute video workout)
ambapo ukibonyeza tu, basi jiandae kutoka jasho!
Mazoezi haya yanakusaidia kupunguza unene wa tumbo pamoja na
mafuta, na hivyo kudumisha urembo wako.
No comments:
Post a Comment