Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Tuesday 12 August 2014

KASISI AFARIKI KWA EBOLA

Kasisi mmoja Muhispania aliyeambukizwa virusi vya Ebola, akiwa anafanya kazi Magharibi mwa Afrika , amefariki kutokana na homa hiyo hospitalini mjini Madrid.
Zaidi ya watu 1,000 wamefariki kutokana na homa hiyo nchini Liberia, Guinea, Sierra Leone na Nigeria tangu kulipuka kwa homa hiyo mwezi Februari.

Miguel Pajares, mwenye umri wa miaka 75, alirejeshwa nchini Uhispania kutoka Liberia wiki jana na mtawa mmoja ambaye naye aliponea kuambukizwa homa hiyo.
BBC

No comments:

Post a Comment