Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Sunday 10 August 2014

DK.SHEIN AWAANDALIA CHAKULA WANADIASPORA WA ZANZIBAR IKULU

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Wazanzibari wanaoishi nje ya nchi mbali mbali (Diaspora)wakati alipowaalika katika chakula maalum leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_9730
Baadhi ya Wazanzibari wanaoishi nje ya Nchi (Diaspora)wakiwa katika chakula walichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_9740 IMG_9783
Mshauri wa Rais  Ushirikiano wa Kimataifa, Uwekezaji na  Uchumi Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa alipokuwa akizungumza machache na kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kutoa hutuba yake kwa Wazanzibari wanaoishi  Nchi za nje  (Diaspora) aliowaalika chakula cha mchana leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar, [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_9790
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi pamoja na Viongozi wengine wakiwa katika hafla ya chakula alichowaandalia  Wazanzibari wanaoishi Nchi za nje  (Diaspora)  katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar leo .[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_9818
Wazanzibari wanaoishi nje ya Nchi (Diaspora) wakichukua chakula walichoaandaliwa na   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_9822
Baadhi ya Wazanzibari wanaoishi  Nchi za nje  (Diaspora) wakiwa katika chakula walichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_9872
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Wazanzibari wanaoishi nje ya nchi mbali mbali (Diaspora)wakati alipowaalika katika chakula maalum leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_9888 IMG_9907
Bi Hafsa Hassan Mbamba kwa niaba ya Wazanzibari wanaoishi  Nchi za nje  (Diaspora) akitoa neno la  shukrani kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein   kwa mwaliko huo na kutoa pongezi kwa jitihada zinazo chukuliwa na Mheshimiwa Rais na Serikali yake kwa ujumla,baada ya hafla ya chakula katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar, [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment