Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Thursday 7 August 2014

BREAKING NEWS: BASI LA ABOOD LAPATA AJALI MUFINDI


Habari zilizotufikia punde, basi la Kampuni ya Abood lililokuwa likisafiri kutoka  jijini Dar es Salaam kwenda Tunduma mkoani Mbeya, limepata ajali wilayani Mufindi, mkoani Iringa.
Japo bado idadi ya waliojeruhiwa haijajulikana, lakini wamekimbizwa katika hospitali ya wilaya ya Mufindi kwa ajili ya matibabu zaidi.
Ajali hiyo imetokea majira ya saa 10 jioni.


CREDIT SOURCE: REHEMA KIKWETE/WANABIDII

No comments:

Post a Comment