Pages

Pages

Pages

Thursday 10 July 2014

TFF YAIVURUMUA RATIBA LIGI KUU, YAIPIGA DANADANA MPAKA SEPTEMBA 20

10357474_634079413340945_8148690486284095511_nNa Boniface Wambura, Dar es salaam
Michuano ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuwania ubingwa wa Tanzania Bara msimu wa 2014/2015 itaanza kutimua vumbi Septemba 20 mwaka huu.
 Awali michuano hiyo ilikuwa ianze Agosti 24 mwaka huu, lakini Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania limelazimika kuisogeza mbele kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kupitisha michuano ya klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kombe la Kagame).
Kusoma zaidi bofya www.bkmtata.blogspot.com
CHANZO FULL SHANGWE

No comments:

Post a Comment