Pages

Pages

Pages

Tuesday 22 July 2014

RAIS KIKWETE AFUNGUA RASMI BARABARA YA SONGEA-NAMTUMBO

Dk. Jakaya Kikwete na Mkurugenzi Mkazi wa Mfuko wa Changamoto za Millennia (Millennium Challenge Corporation) Karl Fickensher wakifunua kitambaa katika jiwe la msingi Kuzindua Barabara ya Lami ya Songea-Namtumbo yenye urefu wa kilometa 71.4 iliyojengwa kwa msaada wa Watu wa Marekani kupitia mfuko huo wakati wa hafla iliyofanyika katika kijiji cha Migelegele wilayani Namtumbo.
Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akimshukuru Mkurugenzi Mkazi wa Mfuko wa Changamoto za Millennia (Millennium Challenge Corporation) Karl Fickensher wakati wa uzinduzi wa Barabara ya lami ya Songea-Namtumbo yenye urefu wa kilometa 71.4 iliyojengwa kwa ushirikiano kati ya serikali ya Tanzania na msaada kutoka kwa watu wa Marekani kupitia mfuko huo katika sherehe zilizofanyika katika kijiji cha Migelegele wilayani Namtumbo Mkoani Ruvuma.

No comments:

Post a Comment