Pages

Pages

Pages

Thursday 17 July 2014

MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2014 HAYA HAPA

Watahiniwa 38,905 sawa na asilimia 95.98 ya waliofanya mtihani kidato cha 6 2013/14 wamefaulu ambapo wasichana ni 12,080 na wavulana waliofaulu ni 26,825.
Waliopata Daraja la IV ni 4,420 sawa na asilimia 12.54 na waliopata sufuri 0) ni 612 sawa na asilimia 1.74.



No comments:

Post a Comment