Pages

Pages

Pages

Friday 18 July 2014

LULU ARUKA KIMANGA: AKU! MI SIKO FACEBOOK!

Staa wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’.

STAA wa filamu Bongo Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema hajawahi kufungua akaunti kwenye Mtandao wa Kijamii wa Facebook ‘FB’ na kwamba aliyefungua kwa jina lake ana nia ya kuwaibia mashabiki wake.
Akizungumzia akauniti hiyo inayoonekana ni feki yenye sura ya kuwaingiza mjini mashabiki wake, Lulu alisema haitambui na wanaokubali kujiunga na ‘Lulu’ huyo wanataka kuibiwa.
“Hee nashangaa kwa kweli,…

SOURCE: GPL

No comments:

Post a Comment