Pages

Pages

Pages

Thursday 26 June 2014

UFARANSA, USWISI ZAPETA HATUA YA 16 KOMBE LA DUNIA, HONDURAS, ECUADOR WAPANDA NGEGE

TIMU ya Taifa ya Ufaransa imefuzu hatua ya 16 ya kombe la dunia kama washindi wa kwanza wa kundi E baada ya usiku huu kuambulia pointi moja kufutia suluhu ya bila kufungana na Ecuador.
Ufaransa wamefikisha pointi 7 kileleni wakifuatiwa na Uswisi wenye pointi 6 katika nafasi ya pili baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Honduras.
Mabao yote ya Uswisi yamefungwa na Xherdan Shaqiri katika dakika ya 5, 30 na 70.
Kusoma zaidi bofya www.bkmtata.blogspot.com

CHANZO FULL SHANGWE

No comments:

Post a Comment